Ratiba ya mchezo wetu unaofuata

Tahere 4/11/2022 siku ya ijumaa saa kumi kamili jioni, tunatarajia kucheza mechi yetu dhidi ya KMC, mchezo utakaochezwa katika uwanja wa CCM kirumba Mwanza.Soma zaidi »

Matokeo ya mchezo wetu dhidi ya Young Africans

Dakika 90’ zimekamilika hapa uwanja wa CCM kirumba Mwanza kwa sisi kupoteza alama tatu dhidi ya Young Africans.

Geita Gold FC 0 vs 1 Young Africans SCSoma Zaidi »

Matokeo ya mchezo wetu dhidi ya Ruvu Shooting FC

Kazi tuliyoagizwa na Wanageita hapa Uhuru Stadium tumefanya kama walivyotaka. Barcelona ya bongo imekutana na pira dhahabu na kujikuta ikipotea kwenye mashimo ya Dhahabu.Soma zaidi »

GEITA GOLD FOOTBALL CLUB

Historia Yetu

Geita Gold football Club ni timu iliyoanzishwa Mwaka 2009 ikifahamika kama Geita Veterans ikiwa chini wa viongozi kadhaa wa mpira na umoja wa wachezaji wa mpira wa miguu wa zamani, Mwaka 2011 ikaanza mashindano ya ligi daraja la tatu (3) ikifahamika hivyo kama Geita Veterans ,Mwaka 2012 ikapata nafasi ya kucheza ligi daraja la Pili.

2013 Jina Geita Gold Veterans likabadilika na timu ikaitwa Geita Gold Sports Klabu hapo ndio ilipoanza kushindana kwa ngazi za Juu . Baada ya kuanza kufanya vizuri zaidi mwaka 2016 timu ikabadili jina na ikaitwa Geita Gold Football Club .

TAKWIMU

Zetu

0
Jumla ya mechi tulizocheza
0
Jumla ya mechi tulizoshinda
0
Jumla ya mechi tulizotoka sare
0
Jumla ya mechi tulizopoteza
0
Jumla ya alama tulizovuna

HABARI

Na Matukio Yetu

Matokeo ya mchezo wetu ya mwisho

Dakika 9️⃣0️⃣' zimekamilika hapa uwanja wa Mkwakwani Tanga tumepata sare kwenye mchezo wetu wa mwisho✊. Coastal Union FC 1️⃣ 🆚 1️⃣ Geita Gold FC ⚽ | George Mpole 1️⃣1️⃣' Asanteni sana kwa kutupa kiatu cha Dhahabu🔥🙏

Mechi yetu inayofuata

Tahere 25/6/2022 tunatarajia kucheza mechi yetu dhidi ya Polisi Tanzania, mchezo utakaochezwa katika uwanja wa chuo cha ushirika Moshi. Tunawaheshimu wapinzani wetu, na tunatarajia mchezo wenye ushindani. Ila tutapambana kadiri ya uwezo wetu ili tuweze...

WADHAMINI

Wetu

Translate »