Kocha bora wa mwezi

Kocha wetu Mkuu Fredy Felix Minziro ‘Baba Isaya’ akikabidhiwa tuzo yake ya kocha bora wa mwezi wa 4️⃣ mapema Jana kwenye mchezo wetu dhidi ya Simba SC.

Makocha bora hushinda Tuzo na Mataji, tumeanza na hio nyingine zinafuata

Translate »