Matokeo ya mchezo wetu ya mwisho

Dakika 9️⃣0️⃣’ zimekamilika hapa uwanja wa Mkwakwani Tanga tumepata sare kwenye mchezo wetu wa mwisho✊.

Coastal Union FC 1️⃣ 🆚 1️⃣ Geita Gold FC

⚽ | George Mpole 1️⃣1️⃣’

Asanteni sana kwa kutupa kiatu cha Dhahabu🔥🙏

Translate »