Mchezaji bora wa mwezi

Mchezaji wetu Geogre Mpole akikabidhiwa tuzo yake ya mchezaji bora wa mwezi wa 4️⃣ mapema Jana kwenye mchezo wetu dhidi ya Simba SC.

Wachezaji bora hushinda Tuzo na Mataji, tumeanza na hio nyingine zinafuata

Translate »