Mechi yetu inayofuata

Tahere 25/6/2022 tunatarajia kucheza mechi yetu dhidi ya Polisi Tanzania, mchezo utakaochezwa katika uwanja wa chuo cha ushirika Moshi. Tunawaheshimu wapinzani wetu, na tunatarajia mchezo wenye ushindani. Ila tutapambana kadiri ya uwezo wetu ili tuweze kuvuna point tatu muhimu, kama tulivyofanya katika michezo iliyopita.

Translate ยป